Wednesday, November 16, 2016

KIM KARDASHIAN HATARINI ENDAOPO ATAPATA UJAUZITO TENA

KIM Kardashian West amepewa angalizo na daktari wake kuwa hata weza kupata mtoto wa tatu kirahisi.
Kupitia kipindi cha Keeping Up With the Kardashians, Kim anasema anataka kuongeza familia ila anauoga kuhusu afya yake.
Kwenye show hio Daktari alimtahadharisha Kim kuwa ataweza pata tatizo la kizazi ambalo linaweza sababisha kifo.
Na mama yake aliongezea “You could bleed to death,

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI