Mwaka 2016 umekuwa mwaka wa bahati nzuri tu kwa WWE Champion The Rock au unaweza kuwa unamfahamu kama mwigizaji Dwayne Johnson ambaye ametajwa kuwa mwanaume mwenye mvuto zaidi duniani na jarida la PEOPLE mwaka 2016. Kwa luhga ya Kingereza wanasema ‘The Sexiest man alive’
The Rock amechukua nafasi ya mwanasoka mstaafu David Beckham aliyetajwa kwneye mafasi hio mwaka 2015.
Mwaka huu The Rock, anarekodi nyingine ambayo ilitolewa na jarida la FORBES kuwa yeye ndio mwigizaji wa kiume aliyelipwa pesa nyingi zaidi kuanzia June 2015 mpaka June 2016 akiwa ameingiza dola za kimarekani milioni 64.5 #Bilioni14.5 za Tanzania.
0 comments:
Post a Comment