Thursday, November 17, 2016

JANET JACKSON KUMPA MTOTO WAKE JINA LA KAKA YAKE KAMA HESHIMA

JINA la Mfalme wa Pop ‘Michael Jackson‘ litaendelea kuishi kwenye midomo na mawazo yetu baada ya kuibuka tetesi kuwa mtoto wa Janet Jackson atapewa jina hilo.
E!News ya Marekani imeripoti kuwa jina la mtoto wa Janet litafanana na jina la Michael Jackson kama kumbu kumbu ya marehemu kaka yake.
Janet na mume wake Wissam Al Mana tayari wanachumba kimetayarishwa kwaajili ya mtoto huyu.
Pamekuwa na tetesi kuwa Janet atajifungua kwa shida kutokana na umri wake ila zimekuwa zikizimwa na kauli za madaktari wake wanaosema anaendelea vizuri tu.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI