RNB Diva Keri Hilson amethibitisha kuwa ameachana na mpenzi wake wa muda mrefu ambaye ni mchezaji wa NBA Serge Ibaka.
Kwenye interview na Rolling Out Magazine anasema “Kuwa kwenye mahusiano na rapa,mwigizaji, mwanamichezo maarufu ilikuwa mwiko kwangu, sikutaka kabisa, nimekiuka sheria nilizojiwekea mwenyewe,nilikubali sababu nilijua ni mtu tofauti, sio mvuto wala pesa, nampenda mtu anaye mpenda Mungu”
Keri Hilson amekuwa kimya kwa muda mrefu ila sasa yupo studio akianda album mpya itakayoitwa L.I.A.R. (Love is a Religion).
0 comments:
Post a Comment