Wednesday, November 16, 2016

JE JUX ATATOKEA KATIKA ‘MONEY DIARIES’ YA VANESSA MDEE?

HIVI karibuni mwanadada Vanessa Mdee alituambia kuhusu kipindi chake kipya kitakachokuwa kikirushwa kupitia socia media 'Youtube' ambapo kitakuwa katika mfumo wa series.
Swali pekee ni kuwa je Money Diaries itahusisha maisha yake ya kimamapenzi?, 
Ukizingatia kwa sasa watu wengi wanatamani kufahamu kuhusu uhusiano na msanii mwenzie 'Jux'
Hapa Ulimwengu wa Habari umekuwekea #MoneyDiaries ya #VanessaMdee akiongelea mambo tofauti kuelekea kutoka kwa album yake ya “Money Mondays”.
Ambapo episode hii inahusu #Networking
Tupe maoni yako kuhusu Kipindi hiki kipya cha V money.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI