AKIWA kwenye Interview ya Radio mkali wa rnb Alicia Keys ambaye ni mke wa Producer Swizz Beats ameongelea colabo na Wiz Kid nakusema inawezekana na hakuna mipaka.
Mtangazaji aliuliza kuhusu Post ya Instagram ya colabo ya Alicia Keys na WizKid na Alicia alisema “Nampenda WizKid ,kuna muziki bado tunausikiliza, muziki hauna mipaka ,Fela alishawishiwa sana na James Brown kwahio hakuna mahali muziki utashindwa kuishi”
Interview ilikuwa kwneye kipindi cha Oldman Ebro on Apple’s Beats 1 radio.
0 comments:
Post a Comment