Wednesday, November 16, 2016

ANGALIA BRAND NEW *VIDEO* YA ALICIOS – ANITA

Msanii Alicios Theluji mwenye asili ya Congo, ameachia video yake mpya ya wimbo wa “Anita”. Video imeongozwa na Joowzey na imefanyika Tanzania.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI