Friday, November 11, 2016

HAKEEM 5 - 'ALI KIBA ANA ROHO MBAYA, SIWEZI KUMUOMBA MSAMAHA'

MSANII wa kitambo wa bongo flava, Hakeem5 akiulizwa kuhusu ushauri aliopewa na Abby Skills kuhusu kumuomba msamaha Ali kiba amedai katu hawezi kufanya jambo hilo
Amesema yeye aliongea ukweli kuhusu Ali Kiba na ukweli sio lazima umfurahishe kila mtu.

Pia ameongezea Ali Kiba ana roho mbaya na hata kolabo alilofanya na Abby Skills ilitokea tu baada ya yeye Hakeem5 kuongea

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI