Friday, November 4, 2016

CHRIS BROWN ASHINDA KESI DHIDI YA SHABIKI WA KIKE ALIYEVAMIA NYUMBA YAKE

MSANII wa Rnb Chris Brown hatimaye ameshinda kesi dhidi ya shabiki wa kike aliyevamia nyumba yake na kusema anampenda staa huyu na anataka kumpa tendo la ndoa.
Mwanamke huyo ambaye anayefahamika kama Danielle Patti ambaye alikamatwa mara ya kwanza nje ya nyumba ya Chris Brown December mwaka jana na mnamo April mwaka huu alifanya tendo lingine la uvamiaji kwenye nyumba ya Chris Brown na kukamatwa na polisi.
Hata ivyo Mahakama imempa adhabu ya kuka mbali na Chris Brown kwa miaka mitano na kwa sasa dada huyu yupo kwenye hospitali ya wagonjwa wa Akili chini ya ulinzi na uangalizi mkali wa Madaktari.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI