Friday, November 4, 2016

J PLUS AACHIA RASMI FILAMU YAKE MPYA YA MAPIGANO ‘THE FOUNDATION’ *VIDEO*

Baada ya kimya cha miaka minne hatimaye staa wa filamu za mapigano Bongo, Jimmy Mponda aka J Plus ameachia filamu yake mpya ya iitwayo ‘The Foundation’.
Kwenye filamu hiyo amewashirikisha waigizaji kibao akiwemo bingwa wa filamu hizo za mapigano Sebastian mwanangulo maarufu kwa jina la Inspekta Seba.
“Naamini kuwa mlipenda sana filamu zangu zilizo pita like ‘Misukosuko’ Shamba kubwa, na zinginezo hivyo naomba muipokee “The Foundation” coz ni kazi nzuri sana ukweli nimeitendea haki yake,” J Plus ameiambia Bongo5. Tazama hapa chini trailer ya filamu hiyo.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI