Wednesday, September 3, 2014

MWANAMKE MREMBO KULIKO WOTE DUNIANI *PICHAZ*

the most beautiful woman in the world saudi arabia

the most beautiful woman in the world
WANASEMA uzuri wa mtu au kitu unatokana na kila mtu anavyokiona au kumuona mtu.
Huyu ni mwanamke aliyeshikilia rekodi kwa mwaka 2013 ya kuwa ni mwanamke mzuri zaidi.
Ni malkia Fatima Zohar-Godabari wa Saudi Arabia.
Unaambiwa kabla ya hapa, mwanamke huyu mrembo alikuwa akificha uso wake kwa kuvaa Nikabu lakini kwa sasa ameanza kuuonyesha uumbaji wake mwenyezi Mungu.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI