Saturday, November 5, 2016

RAIS WA ZANZIBAR DK SHEIN AAZA ZIARA KISIWANI PEMBA LEO *PICHAZ*

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akiwasili Kisiwani Pemba kwa Ndege ya Shirika la Ndege la Tanzania ATC, kuaza ziara yake kisiwani humo leo.kwa ziara ya kiserekali 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohmed Shein akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Karume Pemba kuaza ziara yake leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzui Dk Shein, akisalimiana na Wafanyakazi na Marubani wa ATC baada ya kuwasili kisiwani Pemba kwa Ndege ya Shirika hilo leo asubuhi kuaza ziara yake Pemba. 
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, akisalimiana na Marubani wa Ndege ya Shirika la Ndege la Tanzania ATC katika uwanja wa Ndege wa Chakechake. walipowasili kisiwani Pemba kuaza ziara yao leo asubuhi.



0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI