Sunday, November 6, 2016

ANGALIA BRAND NEW *VIDEO* YA RAYVANNY - SUGU

MSANII toka WCB Wasafi ameachia video mpya ya wimbo wake aliiouita SUGU.
Katika wimbo huu mpya amewashangaza wengi kwa kurap na sio kuimba kama wengi wanavyomfahamu.
Ambapo ukiyasikiliza vizuri mashairi yake, amewagusa wasanii wenzie kama, Joh Makini, Barakah, Sugu (Joseph Mbilinyi) na wengine wengi.
Kama na wewe ni msanii wasiliana nasi kwa 
# +255 715 002 890
au
Email: ulimwengu.habari@gmail.com
Angalia video ya Rayvanny - Sugu hapa chini.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI