MARK ZUCKEBERG ametoa picha
ya kabati la nguo zake,na kuelezea kuwa ndio kabati la nguo zake za kila siku
azivaazo.
Mark anasema
ili asipoteze akili nyingi kwa mkewe na kwake juu ya nini avae na ni nmana gani
anatakiwa kuvaa,ameamua kuwa na nguo za aina moja katika kabati yake na kutoa
"tender"(zabuni) kwa kampuni kumtengenezea aina hiyo ya nguo,pia
ameamua kununua nyumba iliyo karibu kabisa na Makao Makuu ya Facebook ili asiwe
anatumia usafiri wa aina yoyote zaidi ya kutembea toka nyumbani mpaka ofisini.
Ukifuatilia hata katika makongamano yake na
mihadhara ya kitaaluma ktk vyuo na maeneo mbalimbali unaweza dhania kuwa Mark
huwa habadilishi nguo,kumbe ana kabati lililojaa nguo za aina moja.
Haya tupe maoni yako kuhusu Habari hii
0 comments:
Post a Comment