![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjzMqIMYnW-JxeOP__hkQKU1-BD-B2sVPCmVFj4LbnMJG1KA5Wpn2jg_SI30_kzyuHXotOxIrXbUlRUIolEWvrJPZNidcJUOOiy4H0j93gkgydLzIgLtQr2TNWKt30vexivwFIRmtfwX3Rv/s400/DSC_8464.jpg)
Mjumbe
wa Kamati Kuu ya CCM na Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif
Ali Iddi akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Chake chake Pemba
Yussuf Ali Juma leo wakati alipowasili katika uwanja wa mpira Pujini
Jimbo la Chonga Wilaya ya Chake chake Pemba wakati wa Mkutano wa hadhara
wa kampeni za Uchaguzi Mkuu zinazoendelea.
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEih3U3dY_kO0kJDQakMwx1HAX1z_dBf-STMdeIQbEWSGAOIOTIJD8paBrVKB8Xmwu4xXv8ZppN7apy7iN2qjE7_DClsNRk9mDKwKQCQ-EaqwXZG9k35rjx2uLBbAfb2cr_aGy246GWkyckg/s400/DSC_8469.jpg)
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti
wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi wa Chama
cha Mapinduzi mara alipowasili katika
uwanja wa mpira Pujini Jimbo la Chonga Wilaya ya Chake chake Pemba
wakati wa Mkutano wa hadhara wa kampeni za Uchaguzi Mkuu
zinazoendelea.
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgmYIvNR_9-R8KAjsb4_tNlrOte_nakotYuxOeiJzgkVLbg2YsHhMctUW1-HA2fwpJlZm0oBOkrnbY8GBa0ARzDdtrcc0Vc2VbLdor8-cfYiGdMotnYuH0_4zH3tctJ2BgFRl_w8BHgqQG1/s400/DSC_8512.jpg)
Baadhi
ya WanaCCM na Wananchi wakisikiliza sera za Chama cha Mapinduzi (CCM)
zilizotolewa na wajumbe mbali mbali wa katika mkutano wa hadhara wa
kampeni za uchaguzi Mkuu zilizofanyika leokatika uwanja wa mpira kijiji
cha Pujini Jimbo la Chonga Wilaya ya Chakechake mkoa wa Kusini
Pemba,mgeni rasmi akiwaRais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti
wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein.
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiId5b7BY9zCqBNgdzHZ0fQCb5PM4LQuzsOVr9wWe9ymtPiXmzoMJM23m3NigE1p7dONCmOvVnU9Ngto52FkuQTSkOlcb0p5HygpKkesJLncy26HOBfdy_vZrHvrrNGARO35soJP8uPw8bo/s400/DSC_8549.jpg)
Baadhi
ya WanaCCM na Wananchi wakisikiliza sera za Chama cha Mapinduzi (CCM)
zilizotolewa na wajumbe mbali mbali wa katika mkutano wa hadhara wa
kampeni za uchaguzi Mkuu zilizofanyika leokatika uwanja wa mpira kijiji
cha Pujini Jimbo la Chonga Wilaya ya Chakechake mkoa wa Kusini
Pemba,mgeni rasmi akiwaRais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti
wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein.
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhHWFR_lGthnb8W60StxGoAc32rHaE57bmIAgkRX86Ax1pyTQVmWi__itvB_udAAD-moe_Spu9VLMKkZ6cFE89QJFIbI643-jx_IhpOZRIFFsUiCDUq5L-SxioQyIF8LQjCmMrlbCfaeEYT/s400/DSC_8696.jpg)
Mjumbe
wa Halmashauri Kuu ya Taifa CCM (NEC) na waziri wa Ardhi,Maji,Makaazi
na Nishati ramadhan Abdalla Shaaban akisalimia wananchi na wanaCCM
katika mkutano wa hadhara wa kampeni za CCM uliofanyika leo uwanja wa
mpira Pujini Jimbo la Chonga.
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhAjVV82qg6fRQWHqRvwZbHzHl-zzmJNrGaGwg-SiJxOY0qqdyaAoN3izYQZzen-1oz3dUAte19ccYTxCJHseAK6ljwH7xyvJ-Y-CHjsOG82pX_juHSKpZYPIgiu084uSSeTws5jz8bSZiR/s400/DSC_8739.jpg)
Mjumbe
wa Kamati Kuu ya CCM na Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif
Ali Iddi alipokuwa akiwasalimia Wananchi na WanaCCM waliofurika katika
uwanja wa mpira Pujini Jimbo la Chonga Wilaya ya Chake chake Pemba leo
wakati wa Mkutano wa hadhara wa kampeni za Uchaguzi Mkuu
zinazoendelea.
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgOMqI9f2xXc8ImFq8qGcp8Y1TKCJenr0F_FjN9F0J9-YtME8cTD2y3pypm1MRDBdjAzp_8IEanc_KrF7QFVP6wGg6Fa2I4oMLaT7RTW1NmYE01bhOw5oV-5SvGWZu6ghXwQBT3x8FMOSct/s400/DSC_8762.jpg)
KIKUNDI
cha Karafuu Band kutoka Dar es Salaam kikipiga muziki wake ili
kuwaburudisha Wanachama cha Mapinduzi (CCM) na Wananchi katika mkutano
wa hadhara wa kampeni za uchaguzi Mkuu zilizofanyika leo katika uwanja
wa mpira Pujini Jimbo la Chonga Wilaya ya Chakechake Mkoa wa Kusini
Pemba.
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgdlpYwOuqrM_P_NGnVh_b8fOVC_-F7sbYU2mznYdiaVM7uTnd75FCSr7V2zN0KzKVKSE7Fg6aDHC_DvUKHJ8Ho0jF2On2e-gR1G9pG2dB93I9TepBlzORexJPuZ8kORVFJIKhq6S8IuZzy/s400/DSC_8776.jpg)
Maelfu
ya Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM waliofurika katika mkutano wa
hadhara wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu uliofanyika leo kijiji cha Pujini
Wilaya ya Chake chake Mkoa wa Kusini Pemba katika Jimbo la Chonga
wakimsikiliza Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti
wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akitoa sera za CCM na
kuomba ridhaa ya kuchaguliwa kuongoza tena katika kipindi cha pili cha
Uongozi.
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiO0Ltg1WaWvzoOdYVTPNNus0O_cI1CCZ2fWrpuL_f2VbXRi-UxlcIaFodrUS7kGYhAXG0-a80tzJgAFWfXRxHeqgCQJIPkfgDYAeSH8Ee3K-TZ86NvE05amVMkO3dP4HecvtJWjEdsI0UD/s400/DSC_8843.jpg)
Rais
wa zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti
wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na WanaCCM na wanachama
katika mkutano wa hadhara wa kampeni za CCM uliofanyika leo katika
uwanja wa mpira Pujini Jimbo la Chonga Wilaya ya Chake chake Pemba
leo
#Picha na Ikulu.
0 comments:
Post a Comment