Monday, August 17, 2015

TIGO YATOA MSAADA HOSPITALI YA RUFAA YA LIGULA MKOANI MTWARA

ya Kusini, Lilian Mwalongo (kulia) akizungumza na waandishi na uongozi wa hospitali ya Rufaa ya Ligula mkoani Mtwara wakati wa kukabidhi msaada wa vyandarua 1,000 vyenye thamani ya  milioni 15,Akiyekaa(katikati) ni Kaimu mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Alfred Luanda  na (kushoto) Mganga mkuu wa mkoa , Dk.Shaibu Maarifa.
Kaimu mkuu wa mkoa wa Mtwara ambaye ni katibu Tawala, Alfred Luanda (katikati) akizungumza wakati wa hafla ya kukabidhiwa vyandarua 1000 vyenye thamani ya milioni 15 kutoka kampuni ya Tigo,kushoto ni mganga mkuu wa Mkoa, Dk.Shaibu Maarifa na kulia ni Dk.Mdoe Huhuza.
Mganga mkuu wa mkoa wa Mtwara, Shaibu Maarifa akizungumza wakati wa hafla ya kukabidhi vyandarua kutoka kwa kampuni ya Tigo vyenye thamani ya milioni 15,akifuatiwa na Kaimu Mkuu wa mkoa Alfred Luanda, akifuatiwa na Dk. Mdoe Muhuza.
Kaimu mkuu wa mkoa wa Mtwara ambaye ni katibu Tawala, Alfred Luanda akiwa ameshikilia baadhi ya vyandarua walivyokabidhiwa na kampuni ya Tigo vipatavyo 1,000 vyenye thamani ya milioni 15 kama sehemu ya uzinduzi.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI