Monday, August 17, 2015

MASHINDANO YA MAKALIO NCHINI BRAZIL AU WAWEZAYAITA MISS BUMBUM

Washiriki wa Miss Bum kwa muonekano wa mbele
*******
Mashindano yua makalio  al maarufu kama Miss BumBum yamerejea ulingoni na kati ya watu 500 waliotia nia ya kuwania ushiriki 27 tu wamechaguliwa kushindana.
Wanaotafuta umisi huo walijianika katika mji wa Sao Paulo, Brazil hivi karibuni wakati wa uzinduzi wa mwaka wa tano wa mashindano hayo.
 Watu hao wanatoka katika maeneo mbalimbali ya taifa hilo la Kusini mwa Amerika.
Aidha kati ya hao 27  kura zitakazowatosha 15 (zinapigwa kupitia mtandao) watafika katika fainali ambayo itarushwa moja kwa moja luningani.
Fainali hiyo itafanyika Novemba 9.
Wakati wa uzinduzi huo, kila kitu kilisimama na wananchi wakajitokeza kuona warembo hao na makalio yao.

Saa chache baada ya uzinduzi huo mwali kutoka Santa Catarina,
Luciana Hoppers  alikuwa mbele kwa asilimia 12.57% akifuatiwa na Camila Gomes kutoka Minas Gerais na Claudia Pires Piaui akiwa wa tatu. 
Watu hao walivaa bikini za kijani na njano.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI