Saturday, August 15, 2015

MAELFU WAJITOKEZA KUMPOKEA MHESHIMIWA LOWASSA JIJINI ARUSHA *PICHAZ*


MAELFU ya wananchi wa ndani na nje ya mkoa wa Arusha wamejitokeza kumpokea na kumsikiliza mgombea urais wa CHADEMA kupitia UKAWA na waziri mkuu wa zamani Mheshimiwa Edward Lowasa huku wakishuhudia wanachama wa (CCM) na viongozi akiwemo aliyewahi kuwa waziri wa mambo ya ndani Mh. Laurence Masha kukihama Chama Cha Mapinduzi na kujiunga na CHADEMA





0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI