Saturday, August 15, 2015

ISIKILIZE NA UIPAKUE BRAND NEW SONG YA KOBA - ZAWADI

Baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu, hatimaye mkongwe wa muziki wa Bongo fleva MC KOba au Koba, amekuletea wimbo wake mpya kabisa, unaitwa zawadi ameimbakatika maadhi ya Mchiriku au Mnanda.
 Download hapa chini kwa kubofya link:

0 comments:

Post a Comment