Balozi Mdogo wa India Zanzibar Balozi Satendar Kumar akipandisaha
bendera kuadhimisha miaka 69 ya Uhuru wa India zilizofanyika katika
viwanja vya Ubalozi Mdogo wa India Migombani Zanzibar.
Balozi Mdogo wa India Zanzibar Balozi Satendar Kumar akitowa heshima
baanda ya kupandisaha bendera wakati ukiimbwa wimbo wa taifa wa India.
wakati wa kuadhimisha miaka 69 ya Uhuru wa India zilizofanyika katika

Balozi Mdogo wa India Zanzibar Balozi Satendar Kumar akiwahutubia
wananchi wanaoishi Zanzibar wenye asili ya India wakati wa kuadhimisha
miaka 69 ya Uhuru wa India zilizofanyika katika viwanja vya Ubalozi
Mdogo wa India Migombani Zanzibar.

Balozi Mdogo wa India Zanzibar Satendar Kumar akisalimiana na Mbunge
Mtarajiwa wa Jimbo la Chwaka Baguwani Mshamba, wakiwa katika viwanja vya
ubalozi migombani wakati wa hafla hiyo baada ya kumaliza kutowa hutuba
maalum ya kuadhimisha miaka 69 ya Uhuru wa India.
Balozi Mdogo wa India Zanzibar Satendar Kumar akisalimiana na
Wananchi waliohudhuria hafla hiyo baada ya kumaliza kutowa hutuba maalum
ya kuadhimisha miaka 69 ya Uhuru wa India.
0 comments:
Post a Comment