Monday, August 24, 2015

KAULI KUNTU YA MHE. ZITTO KABWE KWA WASANII WANAOTUMIKA NA VYAMA VYA SIASA

"Wasanii wa Tanzania, wakati tunatetea kazi zenu kurasmishwa ili mfaidi jasho lenu, hawa mnaowaimbia Leo hawaikuinua mdomo wao kuwatetea. Kampeni zikiisha na thamani yenu imeisha. Tulipopaza sauti kupinga unyonyaji wa makampuni ya simu kwenye RBT hawa wanaoahidi kuwatetea Leo hata habari walikuwa hawana. Naomba mtafakari sana hatma ya tasnia yenu." Ameandika hayo katika akaunti yake ya Instagram.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI