Monday, August 24, 2015

DK SHEIN ANGURUMA KIBANDA MAITI BAADA YA KUCHUKUA FOMU ZA KUGOMBEA URAIS KUPITIA CCM

 Maelfu ya Wananchi na wanaCCM wakimsikiliza Rais wa zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akizungumza nao katika mkutano wa hadhara uliofanyikaviwanja vya Kibandamaiti Mjini Zanzibar
Maelfu ya Wananchi na wanaCCM wakimsikiliza Rais wa zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akizungumza nao katika mkutano wa hadhara uliofanyikaviwanja vya Kibandamaiti Mjini Zanzibar.
Rais wa zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akizungumza  na Wananchi na WanaCCM  katika mkutano wa hadhara uliofanyika viwanja vya Kibandamaiti Mjini Zanzibar leo.
Rais wa zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akizungumza  na Wananchi na WanaCCM  katika mkutano wa hadhara uliofanyika viwanja vya Kibandamaiti Mjini Zanzibar leo.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Shein akizungumza na wananchi na wanaCCM katika Mkutano wa Hadhara Kibandamaiti Mjini Zanzibar
Maelfu ya WanaCCM na Wapenda amani wakimuunga mkono Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCMZanzibar Dk.Shein akizungumza na wananchi na wanaCCM katika Mkutano wa Hadhara Kibandamaiti Mjini Zanzibar,
#Picha na Ikulu

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI