Monday, August 24, 2015

DIVA NA DIAMOND PLATNUMZ USO KWA USO KWNYE KIPIND CHA XXL CLOUDS FM.. WAKIFUNGUKIANA LIVE BILA CHENGA

Diva Na Sauti Yake Ya Kujiamin Ikiambatana Na Nyodo Ajibizan Na Diamond On Air Kisa Mambo Ya Instagram , inasemekana diva Anamongelea vibaya daimond Instagram, Daimond  amemwambia diva kuwa kama ningekuwa nimekukaza usingekuwa unaniongelea......majibizano yaliendelea nusu wapigane BDAZIN akazima maic

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI