Wasanii wengi wa Bongo Flava wameendelea kujiingiza kwenye biashara, 255 leo imepiga story na msanii Ruby ambae amesema anapenda kuwa designe, anatarajia kuja na kitu kinachoitwa ‘Kilemba cha Ruby’ ambayo inahusuana na mambo ya fashion, idea ambayo imekuja kutokana na kupenda kudesigne vilemba toka akiwa mdogo ingawa kipaji chake kikubwa ni kuimba.
Friday, March 20, 2015
MWANDISHI WA KITABU CHA MTEMI MIRAMBO, JUMA NATURE KUGOMBEA UBUNGE? NA RUBY KAANZA BIASHARA? #255 *AUDIO*
5:57 AM
No comments
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
ZILIZOSOMWA ZAIDI
-
ZILE picha za mahaba za msanii wa Hip Hop Bongo, Nay Wa Mitego akiwa na msichana kitandani zimezua balaa kwa mama mtoto wake Siwema Eds...
-
Leo nina hii orodha ya nchi kumi zenye utajiri barani Afrika Namba 10 ni Tunisia Tunisia wao biashara yao kubwa ni spa...
-
Ni mwana Diaspora Liberatus Mwang'ombe anaye onekana kuwa na mvuto wa kipekee kwenye mbioza kuelekea Dodoma. Mwang'ombe amekuwa...
-
Picha zote hizi zilipigwa kati ya mwaka 2006 na 2007 na zinamwonyesha mwanadada Wema Sepetu, miaka hiyooooo, NI SHIDAAAAH. Tazama picha...
-
WALIOSEMA ujana ni maji ya moto hawakukosea. Mkali wao kwenye Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ ni msanii ambaye ana idadi kubwa ya msu...
0 comments:
Post a Comment