ZENDAYA ni mwanadada mrembo anayechipukia kunako gemu ya muziki wa R&B nchini Marekani.
Mwonekano wa mrembo huyo umeweza kumpa dili la kuigiza maisha ya usichana katika muvi ya marehemu Aaliyah ingawa Zendaya alipiga chini dili hilo.
Mwaka huu amepata dili la kulipamba jarida la Vogue kwa mwezi Februari.
Katika jarida hilo la TeenVogue Zendaya ametupia mavazi ya kijeshi na picha nyingine mavazi ya kawaida na kutokelezea balaa.
Picha ziko hapa tayari ni wewe tuu:
0 comments:
Post a Comment