Friday, January 2, 2015

UTATA: IYOBO WA DIAMOND PLATNUMZ ANUKIA UJAUZITO WA AUNTY EZEKIEL!


KWA siku za nyuma uliwahi kusikia kwamba Msanii wa bongo movie Aunty Ezekiel aliwahi kulala na Mose Iyobo ambaye ni dancer wa Diamond Platnumz sasa kwa taarifa zilizopo ni kwamba ndiye mmiliki wa mimba ya Aunty Ezekiel, Mose Iyobo.
Hivyo kama ni kweli itakuwa ni wa kijana huyu basi Diamond atakuwa baba mkubwaaaa!!!
Kupitia instagrm ya Mose Iyobo alipost picha hii hapa chini na kuandika hivi;
‘Lazima tujifunze kutofautisha kati ya kitambi na mimba lakini hapa kuna utata…..mimi ni mmoja kati ya wasio elewa hiki ni nini….au wewe ulikuwa unaonaje hiki ni kitambi au mimba….. na kama hii ni mimba basi congratulation to my beib. …….AEZKL’

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI