SHEREHE kubwa za mwaka kwa mwaka 2014 ni kama zimeisha juzi baada ya kuupokea mwaka mpya 2015, kila mmoja kasherekea kwa aina yake, Rais wa Marekani Barack Obama pamoja na familia yake nao walipata nafasi ya kutoka nje ya Ikulu ya White House na kwenda kuenjoy kama watu wengine.
Vacation ya Obama na familia yake imeendelea katika visiwa vya Hawaii, alikutana na watu mtaani akawapa salamu za mwaka mpya; “Happy New Year, everybody!“, akasalimiana nao halafu wakaendelea kula zao ice cream.
Picha zake na familia yake wakijienjoy hizi hapa.
Rais Obama akila Ice cream.
Meli ya watu wa usalama haikuwa mbali na familia ya Obama.
Rais Obama na mtoto wake Malia wakila Ice cream.
0 comments:
Post a Comment