Tuesday, January 13, 2015

SIASA YAINGILIWA NIGERIA: MUIGIZAJI HUYU AAMUA KUIGEUKIA SIASA *PICHAZ*

Muigizaji wa Nigeria Desmond Elliot
Muigizaji wa Nigeria Desmond Elliot
MUIGIZAJI na produzya wa Nigeria Desmond Elliot ameamua kuwa mwanasiasa baada ya kuchapisha kalenda zenye picha na bendera za chama cha APC.
Hizi ni baadhi ya picha hizo;
PQTmnTZbOjybkki1pL5g04H6
U1ouMdpAsUs9FksSRrvdUdUf
wPzfG4ewuI5QRHM1Ky3wPXLo
X3Mex7bAFIZABs12HChpNX7Q
Desmond ni baba wa watoto wanne ambao ni desmond,denzel,Donald na dawn.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI