SHABIKI mmoja wa Diamond ametuma mtazamo wake kuhusu issue ya Diamond na Zari
kutegemea mtoto na kusema.
“Sijawahi kuona mastaa hawa wakiwa hospitalini au kwenye kituo chochote wakipima afya zao, ukizingatia ni watu wakuweka hadharani mambo yao yote basi hata kupima wangeweka instagram au huko twitter “
“Sijawahi kuona mastaa hawa wakiwa hospitalini au kwenye kituo chochote wakipima afya zao, ukizingatia ni watu wakuweka hadharani mambo yao yote basi hata kupima wangeweka instagram au huko twitter “
” Ni vizuri staa kuzaa na staa mwenzake
ila Diamond ana muda wa kuwa baba? mahusiano yake mengi ni kiki au
drama ambazo hata Kwa Zari tuliyedhani itakuwa tofauti kumbe ni yale
yale, mimi ni shabiki tu ila nawatakia kila la heri kwenye familia yao
wanayoanzisha ”
Shabiki alimaliza hivyo. Upi mtazamo wa juu comment za huyu shabiki ?
0 comments:
Post a Comment