RAPPER Lil Wayne ameingia kwenye drama ya kugonganisha na kugombaniwa
na wanawake wawili. Christina Milian ambaye ni mama wa mtoto moja na
msanii wa Rnb na Karrine Steffans ambaye ni mwandishi wa vitabu.
Wanawake hawa waliweka wazi kupitia instagram zao kuwa kila mmoja
bado anampenda Lil Wayne na kwamba kunakitu kinaendelea kati yao na rapa
huyu.
Mpaka sasa Wezzy hajasema lolote kuhusu swala hili ila amekuwa
akionekana kuwa karibu zaidi na Christina Milian.
Lil Wayne akiwa na Karrine Steffans (kushoto) na Christina Milian (kulia)
0 comments:
Post a Comment