Monday, January 12, 2015

MFUMO WA UZALISHAJI MUZIKI WA TANZANIA NA JINSI UNAVYOZALISHA MATEJA MITAANI

KUNA namna nyingine inapaswa kufanyika....mlolongo wa recording studios na wasanii umekuwa mrefu lakini mfumo umebakia ule ule, (kurekodi, kupeleka redioni, halafu kusubiri malipo ya show)..Avarage airplay kwa sasa ni angalau wiki tatu kwa hit wonder...wachache sana wanaofanikiwa kukaa zaidi ya mwezi na hii ni wote(wakongwe na chipukizi), utengenezaji wa matangazo unabakia kwenye rotation ya studio hazizidi Sita... Mwishowe madaraja ya stress yanajipanga..kuanzia kwa Msanii, Producer na sasa yanahamia hadi kwenye radio Stations..ila wahanga wakubwa ni recording Studio..mfumo wetu hauwapi fursa ya moja kwa moja ya kurudisha mitaji yao ya uwekezaji..mfumo wa royalty haupo na ni mgumu kuusumakisha katika mazingira yetu..lakini sidhani kama ni tija za ukuaji kwa mtazamo wa studio pale msanii anapolipa 400k kwa nyimbo..halafu mwimbo ukamuingizia zaidi ya 10m...kuna namna ambayo tu mfumo wa uzalishaji wa muziki Tanzania unapaswa kujikagua na kuangalia maslahi yao...otherwise..miaka mitano ijayo mateja wengi watakuwa ni producers kuliko wasanii
By Patrick Gondwe/Mlab Records

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI