Tuesday, December 23, 2014

JE UMESHAWAHI KUMUONA ZARI 'THE BOSS LADY' NA WEMA SEPETU WAKIWA NA NYWELE ZAO ZA ASILI…WAANGALIE VIZURI HAPA!!! *PICHA*

KATIKA post hii unapata picha kamili ya wanawake hawa ambao mpaka sasa wameshatoka kimapenzi na msanii Diamond Platnumz anayefanya vizuri nchini Tanzania, Afrika na Dunia nzima kwa sasa wanaanza kumfahamu na kuifahamu vizuri Tanzania.
Hii picha inaowaonesha mastaa hawa ambao mara nyingi huonekana wakiwa wametupia mawigi vichwani mwao (Artificial hair) picha ya juu kushoto ni zari akiwa na natural hair na kulia akiwa na wigi.
Picha ya kwanza chini inamuonesha Miss 2006/07 Wema Sepetu akiwa na msuko wake wa Twende kilioni/Mistari kama wengi wanavyojua na kulia akiwa na wigi lake analolipeeenda mwenyewe.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI