Tuesday, December 23, 2014

INASTAAJABISHA: YATENGENEZWA MAJENEZA YENYE MUONEKANO WA CHUPA ZA VINYWAJI MBALIMBALI..YACHEKI HAPA *PICHAZ*

Beer_bottles
MSOMAJI ulishawahi kufikiria kwamba kuna mtu atakuja kufanya design ya majeneza tofauti na tuliyozoea kuyaona?
Moja ya kipekee ilikuwa kutoka Kenya, ambapo lilitengenezwa jeneza kwa muundo wa kiti cha kukalia, ya leo iko tofauti.
Hawa jamaa wao wameamua kuunda majeneza haya kwa muundo wa chumba ya pombe na vinywaji mbalimbali, gharama yake unaambiwa ni kama dola 1,000 kila moja.
clbu
Wataalamu walioyaunda wamesema kwa wapenzi wa kinywaji husika anaweza kujichagulia aina ya jeneza ambayo angependezwa kuzikwa ndani yake.
Coffins-from-Ghana-7
img_1379
Jamaa akiwa ameshikilia mojawapo ya jeneza lenye muundo wa chupa ya Cocacola.
N-Cercueil9-Teaser
TAB-fantasy-coffin
 Duuuh aisee hii nayo kali kwakweli.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI