Tuesday, December 23, 2014

ICHEKI EXCLUSIVE NEW VIDEO YA BRACKET FT. DIAMOND PLATNUMZ & TIWA SAVAGE - ALIVE

Hii ni video mpya ya wasanii kutokea Nigeria, Bracket iitwayo Alive waliyowashirikisha Tiwa Savage  pamoja na Diamond Platnumz ukishamaliza kuitazama usiache kuandikia lako la moyoni ili Bracket na Diamond & Tiwa Savage wakipita waone mtu wao umesema nini kuhusu video hii.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI