Tuesday, November 18, 2014

WAFAHAMU WACHEZAJI WATANO WANAONGOZA KWA ASSIST KWENYE HISTORIA ZA PREMIER LEAGUE

Wachezaji wanaongoza kwa assist kwenye historia za Premier League namba moja ikikliwa na Ryan Giggs akiwa na assists 131. 
Hii ndio orodha yenyewe.
1: Ryan Giggs Ana assists 131
2: Steven Gerrard 100
3: Frank Lampard 96
4: Wayne Rooney 91
5: Thierry Henry 80

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI