RAPPER J Cole ametangaza ujio wa album yake mpya na kwamba itatoka kwa mfumo uliotumika kutoa album ya Beyonce.
J. Cole ametangaza kuwa album itaitwa 2014 Forest Hills Drive na inatoka December 9 siku moja na album ya Lil Wayne 'The Carter V' kitu kinachoonyesha ushindani mkubwa. Cd itakuwa na nyimbo 13 na hapata kuwa na utoaji wa single ili kutangaza album.
0 comments:
Post a Comment