Tuesday, November 11, 2014

MAZISHI YA ALIYEKUWA RAIS WA ZAMBIA MICHAEL SATA YAFANYIKA LEO *PICHAZ*

Mwili wa hayati Rais Michael Sata utazikwa leo mjini Lusaka Zambia.
MAZISHI ya kitaifa yamefanyika nchini Zambia kumuaga hayati Rais wa nchi hiyo Michael Sata aliyefariki hospitalini mjini London Uingereza mwezi jana.
Sata alikuwa na umri wa miaka 77.
Katika wiki chache zilizopita, wanachi wamekuwa wakitoa heshima zao za mwisho kwa kiongozi huyo ambaye mwili wake ulikuwa umelazwa katika majengo ya bunge.
Rais Sata alifariki akipokea matibabu mjini London Uingereza
Mazishi yamefanyika mjini Lusaka yakihudhuriwa na viongozi mbali mbali wa kikanda.
Rais Sata amekaimu Rais huku uchaguzi mkuu ukipangwa kufanyika katika muda wa miezi michache ijayo.

0 comments:

Post a Comment