Tuesday, November 11, 2014

KUMBUKA VITU HIVI VYAWEZA SABABISHIA PRESHA KUWA JUU

Chuvi nyingi
Unene uliozidi
Umri mkubwa au uzee
Figo ikiwa haifanyi kazi
Historia ya ugonjwa wa presha kwenye familia
Ugonjwa wa kisukari
Pombe na uvutaji wa sigara kupita kiasi.
Kutofanya mazoezi.
Mara nyingi presha haina dalili hadi ilete madhara na hivyo huitwa (silent killer) muuaji wa kimyakimya ila uambatana na:-
Kichwa kuuma
Kizunguzungu
Kubanwa na pumzi
Kutoona vizuri
kichefuchefu
Kuvimba macho n.k

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI