Thursday, November 20, 2014

KWA MARA YA KWANZA DIAMOND AFUNGUKA CHANZO CHA KUACHANA NA WEMA SEPETU..SOMA HAPA!

Diamond ameandika hivi katika a/c yake ya Facebook mda mchache uliopita "Tunaishi katika ulimwengu ambao Mwanamke akielezea Makosa anayotendewa na mpenzi wake anaonekana Kaonewa na anadai Haki yake.... Lakini Mwanaume akielezea Makosa anayotendewa na Mpenzi wake anaonekana Mshenzi anamdhalilisha Mwenzie.... je unafkiri ni kwanini? na je unahisi hiyo ndio sababu inayowapelekea wadada wengi kufanya vitu vya ajabu Wakiamini wanakimbilio…?"

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI