Vijana
wa kata ya Forest jijini Mbeya wameungana pamoja bila ya kujali itikadi
zao za kisiasa na kufanya usafi maeneo yote yanayozungu kata yako ya
Forest kumuenzi Baba wa taifa zoezi hili litaendelea zaidi ya wiki mbili
pia wameahidi kumchukulia hatua mtu yeyote yule atakaekiuka kanuni sa
usafi kata hiyo ya Forest

Hongereni
sana vijana wa Forest kwa mfano huo Mbeya yetu tunawapongeza sana
tunaomba vijana wa kata nyingine igeni mfano huu siyo kila siku
tuwategemee Halmashauri ya jiji waje watufanyie usafi.









Baadhi ya Vijana wa kata ya Forest wakiwa katika picha ya pamoja.
Chanzo: Mbeya Yetu
0 comments:
Post a Comment