Wednesday, October 1, 2014

RIHANNA KUIGIZA KATIKA FILAMU YA JAMES BOND KAMA BOND GIRL

RIHANNA
MTANDAO wa Hollywoodlife umeripoti kuwa msanii Rihanna ataigiza sehemu ndogo kwenye filamu mpya ya James Bond iliyopewa jina ‘Bond 24′. 
Filamu itaongozwa na director Sam Mendes na kutoka November 2015.
Sehemu atakayo cheza Rihanna imeripotiwa kuwa ni kuimba moja ya wimbo wake kwenye filamu hio au kuwa Bond Girl ambapo atakuwa karibu sana na star wa filamu za James Bond kwa sasa Daniel Craig.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI