Saturday, October 11, 2014

RAIS KIKWETE AFUNGUA JENGO LA PPF MWANZA

D92A8905Naibu Waziri wa Fedha Adam Malima, 
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya PPF Bwana Ramadhani Kija(watatu kushoto), 
na Mkurugenzi Mkuu wa PPF Bwana William Erio(kulia) wakimkaribisha Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete kuzindua jengo la kitega uchumi la PPF mjini Mwanza.
D92A9238Mkurugenzi Mkuu wa PPF Bwana William Erio akitoa maelezo kwa Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete ndani ya mgahawa uliopo katika jengo jipya la kitega uchumi la PPF muda mfupi baada ya kulizindua rasmi mjini Mwanza.
Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhandisi Evarist Ndikilo.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI