Na Dustan Shekidele, Morogoro, GPL
NAIBU Waziri wa zamani wa Afya na Mbunge wa Morogoro kusini Mashariki, Lucy Nkya, amerushiana risasi za moto na mwanae wa kumzaa, Jonas Nkya ndani ya ofisi zao mkoani Morogoro muda si mrefu uliopita.
Tafadhali endelea kuwa nasi ULIMWENGU WA HABARI tukujuze zaidi juu ya habari hii..!
0 comments:
Post a Comment