Kwa akinadada wanaopenda kuvaa nguo Fupi:
Oneni Mwenzenu Alivyoaibishwa Azomewa na Kuchomwa Madole Hadharani, Dada Mmoja alijikuta katika hali ngumu baada ya kuvaa kinguo kifupi kinachoonyesha sehemu zote za mapaja na kupita mtaani, ambapo watu walijitokeza na kuanza kumshambulia kwa maneno wengine wakimpiga picha na kumchoma madole mpaka wasamaria wema walipojitokeza na kumpa khanga na kujisitiri…
Tubadilike, UDHUNGU utatupeleka wapi jamani.???
Ni ushauri tuuuuu!!!!
0 comments:
Post a Comment