Thursday, September 18, 2014

MAN WALTER AKANUSHA TETESI KUWA WIMBO WA ALLY KIBA “MWANA DAR ES SALAAM” NI DONGO KWA DIAMOND PLATINUMZ

PRODUCER mkali ambaye anakubalika kwa sana katika anga za music wa Bongo Fleva unaweza kumuita Man Walter amefunguka juu ya uvumi uliopo mjini kuwa ngoma ya Ally Kiba ya mwana daresalama ni dongo kwa mkali wa music wa Bongo Fleva Diamond Platinum,
Kupitia kipindi cha Ze Crush kinachorushwa hewani na Zenj Fm radio Man Walter alikanusha kwa sana juu ya uvumi huo.
Msikilize kwa kubofya Play hapa!!!

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI