Tuesday, September 30, 2014
MAANDAMANO YA CHADEMA,UKAWA JIJINI DAR ES SALAAM
12:27 PM
No comments
Wananchi
wamefanya maandamano huko Manzese jijini Dar es Salaam wakipinga kile
wanachokiita ni wizi unaoendelea ndani ya bunge Maalum la Katiba ikiwa
ni mwendelezo wakutimiza tamko la Mwenyekiti wa CHADEMA na UKAWA la
kufanya maandamano nchi nzima kupinga mchakato huo.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
ZILIZOSOMWA ZAIDI
-
WENGI wetu huchukulia ulaji wa karanga kama chakula cha kujiburudisha na kisichokuwa na umuhimu sana katika afya ya mwili wa binadamu. Ki...
-
KATIKA pita pita mtandaoni tumekutana na picha hizi za JB a.k.a Bonge la bwana akiwa ameziweka katika akaunti yake ya Instagram na ku...
-
NURU THE LIGHT SHAMSA FORD LULU SHAA JOKATE
-
Mmoja kati ya wafungwa waliohamishwa kutoka Guantanamo Bay akisalimiana na ndugu zake MAREKANI imewaachia baadhi ya wafungwa wa Yemen ...
-
Muda mfupi baada ya Nicki Minaj kutangaza kupitia Twitter kuwa ameachana na Meek Mill, rapper huyo amemchana demu wake huyo wa zamani kw...
0 comments:
Post a Comment