Sunday, August 10, 2014

MTOTO HUYU WA MIAKA 11 ASTAAJABISHA WATU BAADA YA KUMFANYA NYOKA KUWA NI RAFIKI YAKE MKUU

BINTI wa miaka  11 mwenye asili ya kihindi ameonekana kuwa na maisha tofauti baada ya kumfanya nyoka kuwa kama ndiye rafiki yake.
Mtoto huyu anayemiliki nyoka aina ya kobra ambaye nyoka huyo humgonga na kumng'ata mara kwa mara lakini cha ajabu ni kwamba mtoto huyu amekuwa hasikii kabisa juu ya swala lake la kumwacha nyoka huyo na bado akiendelea kumpa matunzo kama chakula na hata kufikia hatua ya kulala naye kabisa katika kitanda kimoja,
Mtoto huyo anayejulikana kwa jina la Kajol Khan alihojiwa na mtandao wa daily mail na ailikuwa na haya ya kusema:
“I have a lot of fun with the cobras. It hurts when they bite me, but sometimes it’s my own fault because I tease them. It’s quite funny.”
Akiwa na nyoka wake huku akionekana ni mwenye furaha muda wote.
Akiwa na nyoka wake huku akionekana ni mwenye furaha muda wote akichezacheza nae.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI