Sunday, August 10, 2014

BAADA YA KUFANYA SIRI SASA MAMBO HADHARANI KATI YA PETITMAN NA HUYU DESH DESH WA DIAMOND!!!

HIVI karibuni kumekua na tetesi za chini ya kapeti kuwa dada yake msanii Diamond, Esma ana mahusiano ya kimapenzi na mfanyakazi wa ENDLESS FAME, Petitman maarufu kama Mutoto ya Madame Wema au Petitman Wakuache….sasa hivi imebainika wazi kua wawili hao ni wapenzi...
Koz ilianzia hapa…
MENEJA wa Wema Sepetu, Martin Kadinda aliweka picha hii kwenye ukurasa wake wa instagram na kuandika "ALERT!!! ALERT!!!"
 Akiashilia kuna kitu hapa...…..

Hatuja kaa vizuri Usipojipanga akaibuka na hii…… huko huko Insta…!

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI