Sunday, August 10, 2014

CHEKI BEHIND THE SCENES KATIKA UTENGENEZAJI WA WIMBO MPYA WA YEMI ALADE *PICHAZ*

BAADA ya kuwapa burudani yakutosha mashabiki wake toka Lome, Togo, Tanzania katika Uwanja wa Taifa na sehemu nyingine nyingi ambazo mwanadada Yemi Alade mkali wa kibao cha ''Johnny'' ambacho kinasumbua barani Afrika na nchi za nje ya bara la Afrika, yupo mbioni kuachia Albamu yake itakayokausha kiu ya wapenzi wake kwani kila kibao akiachiacho kinahit na kufanya wengi wazidi kuvutiwa nae.
Albamu hiyo itakwenda kwa jina la ''King of Queens'' ambayo kwa mujibu wa mwanadada huyo itakuwa ni nzuri kupita maelezo.
Hivi karibuni Yemi amefanya video mbili kwa mpigo ambazo zitaachiwa mwezi septemba 2014.
Mwanadada huyu pia ametajwa kuwa ni Balozi wa Bacardi Breezer akiwa na Sean Tizzle pamoja na Seyi Shay
Picha mbalimbali za mwanadada huyu akiwa Katika utengenezaji wa video mpya
















Credits PR: 
Ogagus P.R Styling: Jane Michael of @JaneMichaelNig | Bidemi Adedeji of @StyledbyBie Photography & Makeup: Buchi Akpati of @BAPhotoandFace

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI