Video za Baadhi ya matukio ya ufunguzi wa serengeti fiesta 2014 jijini Mwanza Usiku wa tar 09/08 ndani ya uwanja wa Mpira wa CCM Kirumba, Historia imeandikwa na maelfu ya wakazi wa Mwanza walijitokeza kushuhudia burudani kutoka kwa wasanii wa Bongo Flava kama Diamond Platnumz, Madee, Chege Na Temba, Mkubwa na Wanae, Young Killer, Stamina, Young D, Edu Boy, K Style, Mr Blue, Nyandu Tozi, Makomando, Jokate ambaye alipiga show ya muziki kwa mara ya kwanza na wengine kibao.
Sunday, August 10, 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
ZILIZOSOMWA ZAIDI
-
ZILE picha za mahaba za msanii wa Hip Hop Bongo, Nay Wa Mitego akiwa na msichana kitandani zimezua balaa kwa mama mtoto wake Siwema Eds...
-
KUPIGA punyeto kwa muda mrefu ni moja kati ya vyanzo vikuu vya tatizo la la ukosefu wa nguvu za kiume. Asilimia kubwa ya vijana wenye ta...
-
Je Unajua Siri ya herufi ya mwanzo ya jina lako?. Soma hapa utaweza kuelewa Tabia zako au tabia za rafiki au mpenzi wako. HERUFI A ...
-
KUPENDEZA ni vile mtu unavyojipanga katika mavazi, na moja ya mavazi mhimu kwa ukanda huu wa Afrika ni vazi la kitenge ambapo naweza se...
0 comments:
Post a Comment